- For Inquiries please contact the following numbers:
Help Desk: +255 686 045 974 | +255 768 039 448 | +255 624 620 262 |+ 255 787 290330
Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania SAUT Kampasi ya Mwanza, kinakutangazia nafasi za masomo katika ngazi ya DIPLOMA na CERTIFICATE kwa Intake ya mwezi wa tisa/kumi kwa mwaka wa masomo 2018/2019 Kozi zinazotolewa:
- Diploma in Accountancy (Stashahada ya Uhasibu )
- Diploma in Business Administration (Stashahada ya utawala wa Biashara
- Diploma in Journalism and Media Studies (Stashahada ya uandishi wa habari)
- Diploma in Procurement and Supply Chain Management (Stashahada ya ugavi na manunuzi)
- Diploma in Computing, Information and Communication Technology (Stashahada ya kompyuta,Teknolojia ya habari na mawasiliano)
- Diploma in Computer Science (Stashahada ya sayansi ya Kompyuta)
- Diploma in Law (Stashahada ya Sheria)
- SIFA ZA MWOMBAJI:
i) Mwombaji awe amehitimu kidato cha sita na amepata alama za ufaulu kiwango cha principal pass moja.
AU
ii) Mwombaji awe amehitimu ngazi ya cheti na awe na ufaulu wa kuanzia G.P.A 2 na kuendelea katika Kozi za Cheti;
UTARATIBU WA KULIPIA KWA AJILI YA APPLICATIONS
FOR VODACOM (M-PESA)
- Dial(Piga) *150*00#
- Enter 1 [Send money ( Tuma pesa)]
- Enter 4 [ To bank (kwenda benki) ]
- Enter 1 [ CRDB ]
- Enter 1 [ Enter Reference ( Weka namba ya kumbukumbu ) ]
- Enter your reference number which you acquire from system / weka namba yako ya malipo ulioipata kutoka kwenye mfumo
- Enter amount / Weka kiasi cha kulipa
- Enter PIN / weka namba yako ya siri
- Enter 1 [ to Confirm/ kukubali ] or 2 [ to cancel / kusitisha ]
FOR AIRTEL (AIRTEL MONEY)
- Dial ( Piga ) *150*60#
- Enter 1 [Send money ( Tuma pesa)]
- Enter 3 [ To bank (kwenda benki) ]
- Enter 2 [ CRDB Bank]
- Enter your reference number which you acquire from system / weka namba yako ya malipo ulioipata kutoka kwenye mfumo
- Enter amount / Weka kiasi cha kulipa
- Enter PIN to send xxxxxx amount to CRDB BANKCRDB COLLECTION account number (your reference number) / weka namba yako ya siri kutuma kiasi xxxxxxx kwenda CRDB BANKCRDB COLLECTION akaunti namba (namba yako ya kumbukumbu ya malipo)
FOR TIGO (TIGOPESA)
- Dial ( Piga ) *150*01#
- Enter 7 [ Financial services / Huduma za kifedha ]
- Enter 1 [ Tigo Pesa to Bank / Tigo pesa kwenda Benki ]
- Enter 1 [ CRDB ]
- Enter 1 [ Enter reference number / Kuingiza namba ya kumbukumbu ]
- Enter your reference number which you acquire from system / weka namba yako ya malipo ulioipata kutoka kwenye mfumo
- Enter amount to pay / Weka kiasi cha unachotuma
- Enter PIN to Confirm / Ingiza namba ya siri kuhakiki
Kwa maelezo zaidi:
Tembelea tovuti ya chuo: www.saut.ac.tz au katika ofisi ya usajili iliyopo chuoni.
Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania
S.L.P: 307
MWANZA, Tanzania
Mob: +255 756 643 595 / +255 769 759 622
Email: admission@saut.ac.tz
Go to Step Two
Application Category is Currently Closed.
Opening Date will be opened..